Programu Zetu za Android

Pakua programu zetu zenye nguvu kutoka Google Play Store

Programu ya IGT Security for Smart Phones

IGT Security for Smart Phone

IGT Security ni programu kamili ya kulinda kifaa chako cha Android. Inaunganisha zana za hali ya juu za kuzuia wizi, usimamizi wa faragha na uchunguzi wa usalama ili kuhakikisha simu yako na taarifa zako zinabaki salama wakati wote.

Vipengele Vikuu:

  • 🛡️ ULINZI DHIDI YA WIZI
  • 🔐 FARAGHA NA APP LOCK
  • 🚀 USALAMA WA MFUMO NA UDHIBITI WA MALWARE
  • 📡 ZANA ZA MTANDAO NA USALAMA
  • 🔋 AFYA YA KIFAA NA MAFUNZO YALIYOJUMUISHWA
  • Ulinzi wa Links (kikagua links za phishing na links hatari)
  • 🚀 KIKAGUA PROGRAMU KWA AJILI YA USALAMA
  • 📡 ANGALIA AFYA YA KIFAA NA ALAMA YA USALAMA

IGT Security imeundwa kuwa nyepesi, rahisi kutumia na yenye ufanisi mkubwa. Pakua sasa na upe smartphone yako ulinzi wa kitaalamu unaostahili!

Programu ya IGT Network

IGT Network

IGT Network ni programu bora kwa kutatua matatizo ya MB zinazokwisha haraka na vifurushi vya Wi-Fi vinavyokwisha haraka. Programu hii huongeza usalama kwenye simu yako na kuzuia programu ambazo hutumii kutumia MB zako kwa siri.

Vipengele Vikuu:

  • Kulinda kifaa kwa Firewall
  • Kuzuia programu kutumia Data ya Background
  • Kudhibiti matumizi ya Wi-Fi na MB ili kuzuia matumizi yasiyo ya lazima
  • Kuhifadhi Data na kuzuia programu kutumia Data yako bila sababu

Ikiwa unataka MB zako au vifurushi vya Wi-Fi vidumu kwa muda mrefu hata kama ni vichache, programu hii itakusaidia.

Programu ya IGT Docs Tools

IGT Docs Tools

Aina zote za mafaili — Hariri, badilisha, scan, punguza ukubwa, unganisha, weka watermark na linda PDF kwa kutumia programu moja.

Vipengele vinavyopatikana kwa PDF, Word, Excel, PPT na Slide:

  • Msomaji wa PDF
  • Kuchora kwenye PDF
  • Kuongeza maandishi na kuhariri
  • Whiteout na WIPE
  • Kufuta
  • Kuweka na kuingiza sahihi
  • Kuongeza picha
  • Kuhifadhi kama picha au PDF

Tengeneza CV bure, badilisha sauti kuwa maandishi, badilisha maandishi kuwa sauti, pamoja na kubadilisha na kupunguza ukubwa wa aina mbalimbali za mafaili.

Hariri aina yoyote ya faili kwa haraka na kwa usalama kwenye kifaa chako. Chora, tia sahihi, weka alama kwenye sehemu muhimu na export kwa urahisi — yote bila kupakia nyaraka zako mtandaoni.

Programu ya IGT Scanner Tools

IGT Scanner Tools

IGT Scanner Tools – Scan, Tengeneza na Badilisha kuwa PDF

Unatafuta zana ya scanning yenye kasi, ya kuaminika na yenye matumizi mbalimbali? QR & Barcode Scanner ni suluhisho lako la kila kitu kwa kuscan, kutengeneza QR Codes na kubadilisha picha kuwa nyaraka za PDF zenye ubora wa juu.

QR & Barcode Scanner yenye nguvu: Scan QR Code au Barcode yoyote papo hapo kwa kutumia kamera ya simu yako. Inasaidia URLs, mitandao ya Wi-Fi, contacts, maandishi na zaidi.

Badilisha Picha kuwa PDF: Badilisha nyaraka zako, risiti au picha kuwa mafaili ya PDF yenye ubora wa kitaalamu. Chagua picha kutoka kwenye gallery yako au piga picha mpya ili kutengeneza PDF ndani ya sekunde chache.

Muunganisho Rahisi wa Wi-Fi: Scan Wi-Fi QR Code ili kuunganisha simu kwenye mtandao moja kwa moja bila kuandika password.

Kutengeneza Code: Tengeneza QR Codes zako kwa websites, social media, Wi-Fi credentials au maandishi ya kawaida.

Historia na Vipendwa: Weka kumbukumbu ya scans zako zote za awali na hifadhi zile muhimu kwenye vipendwa ili uzipate kwa haraka.

Msaada wa Flashlight: Scan kwa urahisi katika maeneo yenye mwanga mdogo kwa kutumia flashlight ya simu.

Faragha na Usalama: Tunathamini faragha yako. Scans zote na ubadilishaji wa PDF hufanyika moja kwa moja kwenye kifaa chako.

Programu ya IGT Camera Tools

IGT Camera Tools

IGT Camera Tools ni programu yenye nguvu na kamili ya media na usalama, iliyoundwa hasa kwa mawakala wa field, wakaguzi, content creators, na wataalamu wanaohitaji picha na video zilizothibitishwa, zenye watermark na zilizoboreshwa kwa matumizi bora.

Programu hii ina teknolojia za kisasa za compression, alama za uthibitishaji na huduma za kurekodi kwa background, ili kuhakikisha media yako inaweza kuthibitishwa, iko salama na inatumia nafasi ndogo ya kuhifadhi.

Kamera Salama Iliyothibitishwa yenye GPS Tagging, Smart Video Compressor & Converter, Professional HD Video Recorder & Watermarks, Integrated Secure Gallery & Viewer, Encrypted Screen Recorder yenye Media Projection.

Programu ya Ishuri rya Telefone

Ishuri rya Telefone

Programu hii imeundwa kwa ajili ya kila mtu anayemiliki simu. Ina Settings kwa Kiswahili zinazofundisha jinsi ya kutatua matatizo mbalimbali ya simu, usalama wa mtandao na jinsi ya kutengeneza simu zilizoharibika.

Vipengele vyake:

  • Kujifunza kutumia simu
  • Masomo kwa mafundi wa simu
  • Kujifunza usalama wa mtandao
  • Settings za simu kwa Kiswahili

Programu hii ina Quiz, Exams, Certificate, pamoja na maswali 121 yanayoulizwa kuhusu simu na majibu yake. Kuna mambo mengi zaidi yaliyomo ndani ya programu hii ambayo huwezi kuyaelewa yote hapa. Pakua kwenye Play Store na ujionee mwenyewe.